Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 47:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Simama tuli, sasa, na maapizo yako na wingi wa ulozi wako,+ mambo ambayo umeyafanyia kazi ya taabu tangu ujana wako; ili labda uweze kufaidika, ili labda uwatie watu hofu.

  • Danieli 2:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Wakaldayo wakajibu mbele ya mfalme, na kusema: “Hakuna binadamu yeyote juu ya nchi kavu anayeweza kuonyesha jambo hili la mfalme, kwa vile hakuna mfalme mkuu wala gavana ambaye amepata kuuliza jambo kama hili kutoka kwa kuhani yeyote mwenye kufanya uchawi, wala mfanya-mazingaombwe wala Mkaldayo.

  • Danieli 5:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi wakaingia watu wote wenye hekima wa mfalme, lakini hawakuwa na uwezo wa kutosha kuweza kusoma maandishi hayo wala kumwambia mfalme tafsiri yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki