Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 23:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Siku saba mtamtolea Yehova toleo linalotolewa kwa njia ya moto. Siku ya nane mtakuwa na mkusanyiko mtakatifu,+ nanyi mtamtolea Yehova toleo linalotolewa kwa njia ya moto. Ni kusanyiko kuu. Hamtafanya kazi ngumu ya aina yoyote.

  • Nehemia 8:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Na kitabu cha sheria ya Mungu wa kweli kikasomwa kwa sauti kubwa siku baada ya siku,+ tangu siku ya kwanza mpaka siku ya mwisho; nao wakaendelea kufanya sherehe hiyo siku saba; na katika siku ya nane kukawa na kusanyiko kuu, kulingana na ile kanuni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki