Mambo ya Walawi 19:36 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Mtakuwa na mizani sahihi, vipimo sahihi,+ kipimo sahihi cha efa na kipimo sahihi cha hini. Mimi ni Yehova Mungu wenu, ambaye nimewatoa ninyi katika nchi ya Misri. Mika 6:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Je, bado kuna hazina za uovu katika nyumba ya mwovu,+ na kipimo cha efa kilichobanwa ambacho kimeshutumiwa?
36 Mtakuwa na mizani sahihi, vipimo sahihi,+ kipimo sahihi cha efa na kipimo sahihi cha hini. Mimi ni Yehova Mungu wenu, ambaye nimewatoa ninyi katika nchi ya Misri.
10 Je, bado kuna hazina za uovu katika nyumba ya mwovu,+ na kipimo cha efa kilichobanwa ambacho kimeshutumiwa?