1 Samweli 17:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Na Daudi akaendelea kumwambia Sauli: “Mtumishi wako alikuwa mchungaji wa baba yake kati ya kundi, na simba akaja,+ na pia dubu, na kila mmoja akamchukua kondoo kutoka katika kundi.
34 Na Daudi akaendelea kumwambia Sauli: “Mtumishi wako alikuwa mchungaji wa baba yake kati ya kundi, na simba akaja,+ na pia dubu, na kila mmoja akamchukua kondoo kutoka katika kundi.