-
Kumbukumbu la Torati 24:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 “Ikiwa utakusanya zabibu za shamba lako la mizabibu, hupaswi kurudi na kukusanya masalio tena. Yatabaki hivyo kwa ajili ya mkaaji mgeni, kwa ajili ya mvulana asiye na baba na kwa ajili ya mjane.
-