27 Mwishowe akamchukua mwana wake mzaliwa wa kwanza ambaye angetawala mahali pake, akamtoa+ kuwa dhabihu ya kuteketezwa juu ya ukuta. Na pakawa na ghadhabu kubwa juu ya Israeli, hivi kwamba wakaondoka, wakamwacha na kurudi katika nchi yao.
20 “ ‘Nawe ulikuwa ukiwachukua wana na binti zako uliokuwa umenizalia,+ na ukawa ukiwatoa dhabihu kwao ili wamezwe+—je, matendo yako hayo ya ukahaba hayatoshi?