29 Mkono wangu una nguvu za kuwatendea ninyi mabaya,+ lakini Mungu wa baba yenu aliongea nami usiku uliopita, akisema, ‘Jiangalie usije ukamwambia Yakobo jema wala baya.’+
7 Ndipo Yezebeli mke wake akamwambia: “Je, ni wewe unayetawala ukiwa mfalme juu ya Israeli?+ Amka, ule mkate na moyo wako ufurahi. Mimi mwenyewe nitakupa shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli.”+