Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 16:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Naye akanunua mlima wa Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha, naye akaanza kujenga juu ya huo mlima na kuita jina la jiji alilolijenga Samaria,+ kulingana na jina la Shemeri bwana wa ule mlima.

  • Amosi 4:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 “Lisikieni neno hili, ninyi ng’ombe za Bashani,+ mlio juu ya mlima wa Samaria,+ mnaopunja watu wa hali ya chini,+ mnaoponda walio maskini, mnaowaambia mabwana zenu, ‘Leteni, tunywe!’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki