Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 50:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Mgongo wangu niliwapa washambuliaji, na mashavu+ yangu nikawapa wale wenye kung’oa nywele. Uso wangu sikuuficha kutoka kwa mambo yenye kufedhehesha na mate.+

  • Mathayo 27:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Nao wakamtemea mate+ na kuuchukua ule utete na kuanza kumpiga kichwani.

  • Marko 14:65
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 65 Na wengine wakaanza kumtemea mate+ na kuufunika uso wake wote na kumpiga ngumi na kumwambia: “Toa unabii!” Na, wakimpiga makofi usoni, watumishi wa mahakama wakamchukua.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki