13 Naye akawaruhusu. Ndipo wale roho wachafu wakatoka na kuingia ndani ya wale nguruwe; na lile kundi likatimua mbio, likaruka poromoko, likaingia baharini, wakiwa karibu elfu mbili, nao wakafa maji mmoja baada ya mwingine katika bahari.+
33 Ndipo hao roho waovu wakamtoka mtu huyo na kuingia ndani ya wale nguruwe, na lile kundi likatimua mbio, likaruka poromoko, likaingia katika ziwa na kufa maji.+