Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 26:58
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 58 Lakini Petro akaendelea kumfuata akiwa mbali kiasi, mpaka katika ua+ wa kuhani mkuu, na, baada ya kuingia ndani, akaketi pamoja na watumishi wa nyumbani ili kuona matokeo.+

  • Marko 14:54
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 54 Lakini Petro, akiwa mbali kiasi, akamfuata+ mpaka katika ua wa kuhani mkuu; naye alikuwa ameketi pamoja na watumishi wa nyumba akiota moto, mbele ya moto mwangavu.

  • Yohana 18:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Sasa Simoni Petro na vilevile mwanafunzi mwingine alikuwa akimfuata Yesu.+ Mwanafunzi huyo alijulikana na kuhani mkuu, naye akaingia pamoja na Yesu ndani ya ua wa kuhani mkuu,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki