Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 5:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Watu huwasha taa na kuiweka, si chini ya kikapu cha kupimia,+ bali juu ya kinara cha taa, nayo huangazia watu wote waliomo ndani ya nyumba.

  • Marko 4:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Naye akaendelea kuwaambia: “Je, taa huletwa ili kuwekwa chini ya kikapu cha kupimia au chini ya kitanda? Je, hailetwi ili kuwekwa juu ya kinara cha taa?+

  • Luka 8:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 “Hakuna yeyote ambaye, baada ya kuwasha taa, huifunika na chombo au kuiweka chini ya kitanda, bali huiweka juu ya kinara cha taa, ili wale wanaoingia ndani wapate kuiona nuru.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki