42 Kisha Farao akaivua pete yake rasmi ya muhuri+ kutoka mkononi mwake, akaiweka mkononi mwa Yosefu na kumvalisha mavazi ya kitani bora, naye akaweka mkufu wa dhahabu shingoni mwake.+
8 Nanyi andikeni kwa ajili ya Wayahudi kulingana na yaliyo mema machoni penu wenyewe katika jina la mfalme,+ nanyi myatie muhuri kwa pete ya mfalme; kwa maana maandishi ambayo yameandikwa kwa jina la mfalme na kutiwa muhuri kwa pete ya mfalme hayawezi kufutwa.”+