Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 15:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Ninyi hamkunichagua mimi, bali mimi niliwachagua, nami niliwaweka ninyi msonge mbele na kuendelea kuzaa matunda+ na kwamba matunda yenu yapate kukaa; ili hata mkimwomba Baba jambo gani katika jina langu, apate kuwapa hilo.+

  • Yohana 16:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Na siku hiyo+ hamtaniuliza swali kamwe. Kwa kweli kabisa ninawaambia, Mkimwomba Baba jambo lolote+ atawapa katika jina langu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki