30 Lakini kwa sababu hila+ itakayofanywa juu ya mwanamume huyu imefunuliwa kwangu, ninamtuma kwako mara moja, na kuwaamuru washtaki wamshtaki mbele yako.”+
16 Lakini nikawajibu kwamba si utaratibu wa Kiroma kukabidhi mtu yeyote ili kupata kibali kabla ya mtu huyo aliyeshtakiwa kukutana uso kwa uso na washtaki+ wake na kupata nafasi ya kujitetea kuhusu malalamishi.