Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 21:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Basi alipoingia ndani ya hekalu, wakuu wa makuhani na wanaume wazee wa watu wakamjia alipokuwa akifundisha, nao wakasema:+ “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Na ni nani aliyekupa mamlaka hiyo?”+

  • Marko 11:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 na kuanza kumwambia: “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? au ni nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?”+

  • Luka 20:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 nao wakasema, wakimwambia: “Tuambie unafanya mambo haya kwa mamlaka gani, au ni nani aliyekupa mamlaka hiyo.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki