-
Mathayo 21:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Basi baada ya yeye kwenda ndani ya hekalu, makuhani wakuu na wanaume wazee wa watu wakamjia alipokuwa akifundisha nao wakasema: “Ni kwa mamlaka gani wewe wafanya mambo haya? Na ni nani aliyekupa wewe mamlaka hii?”
-