Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 17:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Hata hivyo, wale waliokuwa wakimsindikiza Paulo wakamleta mpaka Athene na, baada ya kupokea amri kwamba Sila na Timotheo+ wamfuate upesi iwezekanavyo, wakaondoka.

  • Waroma 15:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 wakati nitakapokuwa nimeenda Uhispania,+ natumaini, zaidi ya yote, nitakapokuwa safarini kwenda huko, niwaangalie ninyi kidogo nanyi mnisindikize+ kidogo kwenda huko baada ya mimi kutosheka kwa kiasi fulani na ushirika wenu.

  • 1 Wakorintho 16:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 na labda nitakaa au hata nitapisha majira ya baridi kali nikiwa pamoja nanyi, ili mnisindikize+ hatua fulani mahali ambapo huenda nitakuwa nikienda.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki