Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 15:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kaeni katika muungano pamoja nami, na mimi katika muungano pamoja nanyi.+ Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa matunda likiwa peke yake lisipokaa katika mzabibu, vivyo hivyo ninyi hamwezi, msipokaa katika muungano pamoja nami.+

  • Yohana 15:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Mimi ndiye mzabibu, ninyi ndio matawi. Yule ambaye hukaa katika muungano pamoja nami, na mimi katika muungano pamoja naye, huyo huzaa matunda mengi;+ kwa sababu bila mimi hamwezi kufanya lolote kamwe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki