Kumbukumbu la Torati 33:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Pia alikuwa akiwatunza kwa upendo watu wake;+Watakatifu wao wote wako mkononi mwako.+Na wao—wao waliegama miguuni pako;+Walianza kupokea baadhi ya maneno yako.+
3 Pia alikuwa akiwatunza kwa upendo watu wake;+Watakatifu wao wote wako mkononi mwako.+Na wao—wao waliegama miguuni pako;+Walianza kupokea baadhi ya maneno yako.+