Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 17:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Mwishowe Yehova akaisikiliza sauti ya Eliya,+ hivi kwamba nafsi ya yule mtoto ikarudi ndani yake, akawa hai.+

  • 2 Wafalme 4:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Mwishowe akaenda juu, akajilaza juu ya yule mtoto,+ akakitia kinywa chake juu ya kinywa chake, na macho yake juu ya macho yake, na mikono yake juu ya mikono yake, akaendelea kuinama juu yake, na hatua kwa hatua mwili wa mtoto ukawa na joto.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki