Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 23:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Usilete malipo+ ya kahaba au bei ya mbwa+ ndani ya nyumba ya Yehova Mungu wako kwa ajili ya nadhiri yoyote, kwa sababu hao ni chukizo kwa Yehova Mungu wako, naam, wote wawili.

  • Mathayo 7:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Msiwape mbwa kitu kitakatifu,+ wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, ili wasizikanyage-kanyage+ chini ya miguu yao na kugeuka na kuwararua ninyi.

  • Wafilipi 3:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Mjihadhari na hao mbwa,+ mjihadhari na wale wanaotenda madhara, mjihadhari na wale wanaoukata mwili.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki