Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 “Kwa hiyo mkaja karibu na kusimama chini ya mlima, nao mlima ulikuwa ukiwaka moto mpaka katikati ya mbingu; kulikuwa na giza, wingu na weusi mzito.+

  • Ufunuo 14:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Nami nikamwona malaika mwingine akiruka katikati ya mbingu,+ naye alikuwa na habari njema+ ya milele ili aitangaze kuwa habari za furaha kwa wale wanaokaa duniani, na kwa kila taifa na kabila na lugha na watu,+

  • Ufunuo 19:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Nikaona pia malaika amesimama katika jua, naye akapaaza kilio kwa sauti kubwa na kuwaambia ndege+ wote wanaoruka katikati ya mbingu: “Njooni hapa, mkusanyike pamoja kwenye mlo mkubwa wa jioni wa Mungu,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki