Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 39:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Hatimaye akamwachia Yosefu usimamizi wa vitu vyake vyote, naye hakujishughulisha na kitu chochote isipokuwa chakula chake. Isitoshe, Yosefu akawa mwanamume mwenye umbo zuri na sura inayopendeza.

  • Zaburi 105:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Akamweka kuwa bwana mkubwa wa nyumba yake,

      Mtawala wa mali zake zote,+

  • Matendo 7:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Na wale vichwa vya familia wakamwonea wivu Yosefu+ na kumuuza Misri.+ Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,+ 10 akamkomboa kutoka katika dhiki zake zote, akampa kibali na hekima mbele ya Farao mfalme wa Misri. Naye Farao akamteua aongoze Misri na nyumba yake yote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki