Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 44:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Sasa Yuda akamkaribia na kumwambia: “Nakusihi, bwana wangu, tafadhali niruhusu mimi mtumwa wako nikwambie neno moja bwana wangu, wala usinikasirikie mimi mtumwa wako, kwa maana wewe ni kama Farao.+

  • Mwanzo 45:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Hivyo basi, si ninyi mlionituma hapa, bali ni Mungu wa kweli, ili aniweke kuwa mshauri mkuu* wa Farao na msimamizi wa nyumba yake yote na mtawala wa nchi yote ya Misri.+

  • Matendo 7:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Na wale vichwa vya familia wakamwonea wivu Yosefu+ na kumuuza Misri.+ Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,+ 10 akamkomboa kutoka katika dhiki zake zote, akampa kibali na hekima mbele ya Farao mfalme wa Misri. Naye Farao akamteua aongoze Misri na nyumba yake yote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki