-
Kutoka 34:19, 20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume* ni wangu,+ kutia ndani mifugo yenu yote, iwe ni ng’ombe dume wa kwanza au kondoo.+ 20 Mtamkomboa mzaliwa wa kwanza wa punda kwa kondoo. Lakini msipomkomboa, basi mtamvunja shingo. Mnapaswa kumkomboa kila mzaliwa wenu wa kwanza kati ya wana wenu.+ Mtu yeyote asije mbele zangu mikono mitupu.
-