Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 9:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Kisha nikatazama na kuona kwamba mlikuwa mmemtendea dhambi Yehova Mungu wenu! Mlikuwa mmejitengenezea ndama wa chuma.* Mlikuwa mmegeuka upesi kutoka katika njia ambayo Yehova alikuwa amewaamuru mfuate.+

  • Isaya 46:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Kuna wale wanaomwaga dhahabu kwa wingi kutoka kwenye mikoba yao;

      Wanapima fedha katika mizani.

      Wanamwajiri mfua chuma, naye huitengeneza kuwa mungu.+

      Kisha wanasujudu, naam, wanaiabudu.*+

  • Matendo 7:41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Ndipo wakatengeneza ndama siku hizo na kuiletea sanamu hiyo dhabihu nao wakaanza kufurahia kazi za mikono yao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki