Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 11:21-24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 “‘Kati ya wadudu wote wenye mabawa wanaoishi katika makundi makubwa na wanaotambaa kwa miguu yote minne, mnaweza kula tu wadudu wenye vifundo miguuni wanaoruka ardhini. 22 Hawa ndio mnaoweza kula: kila aina ya nzige wanaohama, nzige wengine wanaoliwa,+ chenene,* na panzi. 23 Wadudu wengine wote wenye mabawa wanaoishi katika makundi makubwa wenye miguu minne ni chukizo kwenu. 24 Wadudu hao watawafanya msiwe safi. Kila mtu anayegusa mizoga yao hatakuwa safi mpaka jioni.+

  • Mambo ya Walawi 17:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mtu yeyote, awe ni mwenyeji au mgeni, akila mnyama aliyepatikana amekufa au aliyeraruliwa na mnyama wa mwituni,+ basi ni lazima afue mavazi yake na kuoga kwenye maji,+ naye hatakuwa safi mpaka jioni.

  • Kumbukumbu la Torati 14:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Pia, msimle nguruwe kwa sababu ana kwato zilizopasuka lakini hacheui. Yeye si safi kwenu. Msile kamwe nyama yao wala kugusa mizoga yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki