Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 27:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “Utatengeneza madhabahu kwa mbao za mshita;+ itakuwa na urefu wa mikono mitano* na upana wa mikono mitano. Madhabahu hiyo itakuwa ya mraba na kimo chake kitakuwa mikono mitatu.+ 2 Utatengeneza pembe+ kwenye ncha zake nne; pembe hizo zitakuwa sehemu ya madhabahu, nawe utaifunika madhabahu hiyo kwa shaba.+

  • Kutoka 30:1-3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 “Utajenga madhabahu ya kufukizia uvumba;+ utaijenga kwa mbao za mshita.+ 2 Itakuwa ya mraba; urefu wa mkono mmoja,* upana wa mkono mmoja, na kimo cha mikono miwili. Pembe zake zitakuwa sehemu ya madhabahu hiyo.+ 3 Utaifunika kwa dhahabu safi: sehemu yake ya juu, pande zote kuizunguka, na pembe zake; nawe utatengeneza ukingo wa dhahabu kuizunguka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki