-
Kumbukumbu la Torati 19:8, 9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 “Yehova Mungu wenu akipanua eneo lenu kama alivyowaapia mababu zenu+ na kuwapa nchi yote aliyoahidi kuwapa mababu zenu+ 9 —maadamu mnashika kwa uaminifu amri hii yote ninayowapa leo, kwa kumpenda Yehova Mungu wenu na kutembea daima katika njia zake+—basi mtaongeza majiji mengine matatu zaidi ya hayo matatu.+
-