Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 26:55
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 55 Hata hivyo, nchi inapaswa kugawanywa kwa kura.+ Watu wanapaswa kupokea urithi wao kulingana na majina ya makabila ya baba zao.

  • Hesabu 33:54
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 54 Mtaigawanya nchi hiyo kwa kura+ na kuimiliki kulingana na familia zenu. Kundi kubwa litapokea urithi mkubwa zaidi na kikundi kidogo kitapokea urithi mdogo.+ Kila mtu atapokea urithi wake mahali ambapo kura yake itaangukia. Mtapokea urithi wenu wa nchi kulingana na makabila ya baba zenu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki