Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 1:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Zungumza na Waisraeli* uwaambie, ‘Ikiwa yeyote kati yenu atamtolea Yehova mnyama wa kufugwa, anapaswa kumtolea dhabihu kutoka kati ya mifugo yake au kundi lake.+

      3 “‘Ikiwa anatoa dhabihu ya kuteketezwa kutoka kati ya mifugo yake, anapaswa kutoa mnyama dume asiye na kasoro.+ Atamtoa kwa hiari yake mwenyewe+ mbele za Yehova kwenye mlango wa hema la mkutano.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki