Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 2:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “‘Mkimtolea Yehova mavuno ya kwanza ya nafaka iliyokomaa yakiwa toleo la nafaka, mnapaswa kutoa masuke mabichi yaliyokaangwa kwa moto, chengachenga za nafaka mbichi iliyopondwa, kuwa toleo la nafaka la mavuno yenu ya kwanza yaliyokomaa.+

  • Kumbukumbu la Torati 18:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Mnapaswa kumpa mazao ya kwanza ya nafaka yenu, divai yenu mpya, mafuta yenu, na manyoya ya kwanza yaliyokatwa ya kondoo wenu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki