Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 21:20, 21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 na kuwaambia hivi wazee wa jiji lake: ‘Huyu mwana wetu ni mkaidi na mwasi, anakataa kututii. Ni mlafi+ na mlevi.’+ 21 Basi watu wote wa jiji lake watamuua kwa kumpiga mawe. Kwa hiyo ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu, na Waisraeli wote watasikia na kuogopa.+

  • Kumbukumbu la Torati 24:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “Ikiwa mtu atapatikana akiwa amemteka nyara ndugu yake Mwisraeli, naye amemtesa na kumuuza,+ mtekaji nyara huyo lazima auawe.+ Mnapaswa kuondoa uovu miongoni mwenu.+

  • 1 Wakorintho 5:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 huku Mungu akiwahukumu wale walio nje?+ “Mwondoeni mtu mwovu miongoni mwenu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki