Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 19:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Usimlaghai mwenzako+ wala kumnyang’anya vitu vyake.+ Usikae na mshahara wa kibarua usiku kucha mpaka asubuhi.+

  • Yeremia 22:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Ole wake anayejenga nyumba yake bila uadilifu

      Na vyumba vyake vya juu bila haki,

      Anayemfanya mwanadamu mwenzake amtumikie bure,

      Na ambaye anakataa kumlipa malipo yake;+

  • Mathayo 20:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Ilipofika jioni, mwenye shamba la mizabibu akamwambia msimamizi wake, ‘Waite wafanyakazi uwalipe mshahara wao,+ ukianza na wa mwisho na kumalizia na wa kwanza.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki