Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 7:33-35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Mguu wa kulia utakuwa fungu la mwana wa Haruni atakayetoa damu ya dhabihu za ushirika na mafuta.+ 34 Kwa maana nachukua kidari cha toleo la kutikiswa na mguu wa lile fungu takatifu kutoka kwa dhabihu za ushirika za Waisraeli na kumpa kuhani Haruni na wanawe. Ni sheria ya kudumu kwa Waisraeli.+

      35 “‘Hilo ndilo fungu lililotengwa kwa ajili ya makuhani, yaani, Haruni na wanawe, kutoka katika dhabihu za Yehova zinazochomwa kwa moto, fungu lililotengwa kwa ajili yao siku waliyowekwa rasmi kumtumikia Yehova wakiwa makuhani.+

  • Kumbukumbu la Torati 18:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Makuhani Walawi, naam, kabila lote la Lawi, halitakuwa na fungu au urithi pamoja na Waisraeli. Watakula dhabihu zinazochomwa kwa moto zinazotolewa kwa Yehova, ambazo ni urithi wake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki