Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 27:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Atasimama mbele ya kuhani Eleazari, ambaye atatumia Urimu+ kujua uamuzi wa Yehova kwa niaba yake. Kwa agizo lake, yeye na Waisraeli wote na watu wengine wote watatoka, na kwa agizo lake wataingia ndani.”

  • 1 Samweli 30:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kisha Daudi akamwambia kuhani Abiathari,+ mwana wa Ahimeleki: “Tafadhali ilete ile efodi hapa.”+ Kwa hiyo Abiathari akamletea Daudi hiyo efodi. 8 Daudi akamuuliza Yehova:+ “Je, nilifuatie kundi hili la wavamizi? Je, nitawafikia?” Ndipo Akamwambia: “Wafuatie, kwa maana hakika utawafikia, nawe utawaokoa waliotekwa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki