Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 18:14-17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Daudi akaendelea kutawala Israeli yote,+ naye aliwatawala watu wake wote kwa haki na uadilifu.+ 15 Yoabu mwana wa Seruya alikuwa mkuu wa jeshi,+ Yehoshafati+ mwana wa Ahiludi alifanya kazi ya kuweka kumbukumbu, 16 Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani, na Shavsha alikuwa mwandishi. 17 Benaya mwana wa Yehoyada aliwasimamia Wakerethi+ na Wapelethi.+ Na wana wa Daudi walikuwa na cheo cha kwanza baada ya mfalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki