Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 17:49
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 49 Daudi akautia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, na kulirusha kwa kombeo. Akampiga Mfilisti huyo kwenye paji la uso, na jiwe hilo likapenya katika paji la uso wake, akaanguka chini kifudifudi.+

  • Zaburi 44:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 Hawakuimiliki nchi kwa upanga wao wenyewe,+

      Na mkono wao wenyewe haukuwaletea ushindi.+

      Badala yake, waliimiliki kwa mkono wako wa kuume na uwezo wako+ na nuru ya uso wako,

      Kwa maana ulipendezwa nao.+

  • Zaburi 44:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Kwa nguvu zako tutawafukuza maadui wetu;+

      Katika jina lako tutawakanyagia chini wale wanaoinuka dhidi yetu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki