Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 18:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Msifanye mambo hayo ili nchi isiwatapike kwa sababu ya kuichafua kama itakavyoyatapika mataifa yaliyowatangulia.

  • Kumbukumbu la Torati 4:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu leo ya kwamba kwa hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi mnayovuka Yordani kwenda kuimiliki. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo, badala yake mtaangamizwa kabisa.+

  • 2 Samweli 7:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu.+ Atakapokosea, nitamkaripia kwa fimbo ya wanadamu na kwa viboko vya wana wa binadamu.*+

  • 2 Wafalme 17:22, 23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Na Waisraeli wakaendelea kufuata dhambi zote ambazo Yeroboamu alitenda.+ Hawakuziacha 23 mpaka Yehova alipowaondoa Waisraeli kutoka mbele zake, kama alivyokuwa amesema kupitia watumishi wake wote manabii.+ Kwa hiyo Waisraeli wakaondolewa katika nchi yao na kupelekwa uhamishoni kule Ashuru,+ nao wangali huko hadi leo.

  • Zaburi 89:30-32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Wanawe wakiiacha sheria yangu

      Na wasipotembea kulingana na maagizo yangu,*

      31 Wakizivunja sheria zangu

      Na wasiposhika amri zangu,

      32 Basi nitaadhibu uasi wao* kwa fimbo+

      Na kosa lao kwa viboko.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki