Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 17:27-29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Mara tu Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi mwana wa Nahashi kutoka katika jiji la Raba+ la Waamoni, Makiri+ mwana wa Amieli kutoka Lo-debari, na Barzilai+ Mgileadi kutoka Rogelimu 28 wakaleta vitanda, mabeseni, vyungu, ngano, shayiri, unga, nafaka iliyokaangwa, maharagwe mapana, dengu, nafaka iliyokauka, 29 asali, siagi, kondoo, na jibini. Walimletea vitu hivyo vyote Daudi na watu waliokuwa pamoja naye ili wale,+ kwa maana walisema: “Watu wana njaa, wamechoka, na wana kiu nyikani.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki