Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 22:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Mwishowe wakafika mahali ambapo Mungu wa kweli alikuwa amemwonyesha, Abrahamu akajenga madhabahu hapo na kupanga kuni juu yake. Akamfunga Isaka mwanawe mikono na miguu na kumlaza kwenye madhabahu juu ya zile kuni.+

  • Mambo ya Walawi 1:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Wana wa Haruni, makuhani, wataweka moto kwenye madhabahu+ na kupanga kuni kwenye moto huo. 8 Wana wa Haruni, makuhani, watapanga vile vipande vya mnyama wa dhabihu+ pamoja na kichwa na mafuta yanayofunika figo juu ya kuni kwenye moto wa madhabahu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki