Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 10:8-10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha nikabaki peke yangu, na nilipoona maono hayo makubwa nguvu ziliniishia na sura yangu ya heshima ikatoweka, nikapoteza nguvu zote.+ 9 Kisha nikasikia sauti yake akizungumza; lakini nilipomsikia akizungumza, nikalala kifudifudi ardhini na kushikwa na usingizi mzito.+ 10 Lakini mkono ukanigusa,+ ukanitikisa ili niinuke kwa mikono na magoti yangu.

  • Matendo 12:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Lakini tazama! malaika wa Yehova* alikuwa amesimama hapo,+ na nuru ikang’aa katika chumba cha gereza. Akamgonga Petro ubavuni, akamwamsha akisema: “Simama upesi!” Na minyororo ikaanguka kutoka kwenye mikono yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki