Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 19:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Basi akaondoka huko, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima kwa jozi 12 za ng’ombe dume, naye alikuwa na jozi ya 12. Basi Eliya akamkaribia, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake.

  • 2 Wafalme 1:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Wakamwambia: “Alikuwa mwanamume aliyevaa vazi la manyoya+ na mshipi wa ngozi kiunoni.”+ Mara moja akasema: “Ni Eliya Mtishbi.”

  • Zekaria 13:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 “Siku hiyo kila nabii ataonea aibu maono yake anapotabiri; nao hawatavaa vazi rasmi la manyoya+ ili kudanganya.

  • Mathayo 3:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Yohana alivaa mavazi yaliyofumwa kwa manyoya ya ngamia na alijifunga mshipi wa ngozi kiunoni.+ Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki