Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 15:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Mpaka huo ulianzia juu ya mlima hadi chemchemi ya Neftoa+ mpaka kwenye majiji ya Mlima Efroni; nao ulifika Baala, yaani, Kiriath-yearimu.+

  • Yoshua 15:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Mpaka wa magharibi ulikuwa Bahari Kuu*+ na pwani yake. Hiyo ndiyo iliyokuwa mipaka yote ya wazao wa Yuda kulingana na koo zao.

  • 1 Mambo ya Nyakati 13:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Basi Daudi akawakusanya Waisraeli wote, kuanzia mto wa Misri* mpaka Lebo-Hamathi,*+ ili walete Sanduku la Mungu wa kweli kutoka Kiriath-yearimu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki