Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 35:2-4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Waagize Waisraeli wawape Walawi majiji ya kuishi kutoka katika urithi watakaomiliki,+ nao wanapaswa kuwapa Walawi malisho yanayozunguka majiji hayo.+ 3 Wataishi katika majiji hayo, na malisho hayo yatakuwa ya mifugo yao, na ya mali zao, na wanyama wao wengine wote. 4 Malisho ya majiji mtakayowapa Walawi yatakuwa na upana wa mikono 1,000* kila upande kutoka kwenye ukuta wa jiji.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki