-
2 Samweli 8:3, 4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Daudi alimshinda Hadadezeri mwana wa Rehobu mfalme wa Soba+ mfalme huyo alipokuwa akienda kurudisha mamlaka yake katika eneo la Mto Efrati.+ 4 Daudi akawateka wapanda farasi 1,700 na wanajeshi wake 20,000 wanaotembea kwa miguu. Kisha Daudi akawakata farasi wote mishipa ya miguu isipokuwa farasi 100 waliokokota magari.+
-