Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 1:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kisha Mungu akamwambia Sulemani: “Kwa sababu moyo wako unatamani jambo hilo, nawe hukuomba mali, utajiri, wala heshima wala hukuomba wale wanaokuchukia wafe, wala hukuomba maisha marefu,* lakini umeomba hekima na ujuzi ili uwahukumu watu wangu ambao nimekuweka uwe mfalme wao,+ 12 nitakupa hekima na ujuzi; lakini nitakupa pia mali na utajiri na heshima, kuliko mfalme yeyote kabla yako na mfalme yeyote baada yako.”+

  • 2 Mambo ya Nyakati 17:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na Yehoshafati+ mwanawe akawa mfalme baada yake, akaimarisha mamlaka yake juu ya Israeli.⁠

  • 2 Mambo ya Nyakati 17:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Yehova aliendelea kuuimarisha kabisa ufalme mikononi mwake;+ na watu wote wa Yuda wakaendelea kumpa Yehoshafati zawadi, akawa na utajiri na utukufu mwingi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki