Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 13:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Basi Abiya akaenda vitani akiwa na jeshi lenye mashujaa hodari 400,000 waliozoezwa.*+ Na Yeroboamu akajipanga kivita ili kupigana naye akiwa na wanaume 800,000, mashujaa hodari waliozoezwa.*

  • 2 Mambo ya Nyakati 26:11-13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Zaidi ya hayo, Uzia akawa na jeshi lililojihami kwa ajili ya vita. Wanajeshi hao walienda vitani, wakiwa wamepangwa katika vikundi. Walihesabiwa na kuandikishwa+ na mwandishi Yeieli+ na ofisa aliyeitwa Maaseya, chini ya amri ya Hanania, mmoja wa wakuu wa mfalme. 12 Idadi kamili ya viongozi wa koo* waliowaongoza mashujaa hao hodari ilikuwa 2,600. 13 Wanajeshi waliokuwa chini ya amri yao walikuwa 307,500, wanaume waliokuwa tayari kwa ajili ya vita, jeshi lenye nguvu la kumsaidia mfalme kupigana na maadui.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki