Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 24:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kwa maana ingawa jeshi la Wasiria lililovamia lilikuwa na wanaume wachache, Yehova alitia mikononi mwao jeshi kubwa sana la watu wa Yuda na Yerusalemu+ kwa sababu walikuwa wamemwacha Yehova Mungu wa mababu zao; kwa hiyo wakatekeleza* hukumu dhidi ya Yehoashi. 25 Na walipoondoka katika nchi yake (kwa maana walimwacha akiwa amejeruhiwa vibaya*), watumishi wake mwenyewe walipanga njama dhidi yake kwa sababu alikuwa amemwaga damu ya wana* wa kuhani Yehoyada.+ Walimuua katika kitanda chake mwenyewe.+ Basi akafa na kuzikwa katika Jiji la Daudi,+ lakini hawakumzika katika makaburi ya wafalme.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 28:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Kisha Ahazi akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake jijini Yerusalemu, kwa maana hawakumpeleka kwenye makaburi ya wafalme wa Israeli.+ Na Hezekia mwanawe akawa mfalme baada yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki